Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia
[KIGEUGEU SONG LYRICS]
Dunia nizamishe
ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia
Chorus
nimtazame nani, nimwamini nani [nani]
wananigeukia
vigeugeu… vigeugeu… vigeugeu wananigeukia
Verse 1
namwamini daktari sana amponye
rafiki yangu
anamweka kwenye life support machine,
kumbe aliaga ni pesa anakusanya
mama mzito anamwamini mkunga
amzalishie mtoto baada ya miezi tisa,
mkunga anamgeukia
mtoto...
Monday, June 27, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)